List ya transfer za degree mbali mbali

Ndugu wapendwa kunamtu yeyote aliye fanya transfer online akapata nafasi? Maana hta sielewi kwasabau wotewalio bahatka kupata nafasi inasemekana walikwenda mojakwamoja mpaka ofisi za TCU
 
Yaaaan tcu,nacte mi siwaelewi kwa kwelii mbna awapo waziiii wanasema kesho kesho ikifikaa kesho tenaa daaaa
 
Daaaaa mitemii upo siriuz kweli mbna sisi wengne hadi leo bado acount ze2 hazija changee

Mimi ni wa nacte pia nilishapata transfer wiki ya pili sasa. Hadi chuo nimekwenda wanasema bado jina halijaja kutoka tcu, so itakua nacte wanawapa tcu then tcu wanapeleka chuoni.
 
jamani mwenye taarifa zozote kuhusu majibu ya transfer za nacte atueleze kwa sababu mpaka sasa hatujui nini kinaendelea
 
Mi jina langu silioni Wadau
ina maana ndio nimekosa au vipi please msaada S 0759/0051/2005
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…