List ya vijana 50 wenye ushawishi yatolewa: Wapo Samatta, Kibatala, Millard Ayo, Ali Kiba, Msando

Kwa hiyo umekaa chumbani kwako umewalist then unakuja hapa kuinadi
nikikuuliza ushahidi wa huo ushawishi unatoa wp utakuwa na majibu?
 
Mexence mello ana nguvu kubwa kuliko huyo samatta, huyo mange mwenyewe ni hatari hata huyo samatta hamkutii

Hamna mtamdao wenye nguvu ya ushawishi ,kama facebook,whatsapp,instagram,jamii forums

Jamii forums ni mtandao wenye ushawishi mkubwa sana katika jamii na serikalini, vigogo wengi wapo humu, na vitu vingi sana

Habari nyingi sana za kupekenyua madudu makubwa mbalimbali zilianzia hap jf na hatimaye kufanya wanachi tujue ukweli

Jf ni mtandao wenye nguvu na unaofuatiliwa na watu wengi sana hapa tz na waliopo nnje, ndio mtandao pekee watu wanamchana sizonje hadharani na ujumbe unamfikia

Jamii forum ndio mexcence mwenyewe sasa nashangaa eti mnawaweka hao akina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…