aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
tumezoea wanamuziki wengi wenye sauti tamu na vocal ni wale ambao enzi za utoto wao walipitia madrasa ambapo kaswida iliwatengeneza mpaka leo hii wanasauti tamu.
Ila wapo ambao wenyewe mwenyezi mungu tu amewajalia sauti nyororo bila kupitia huko
1.Rich Makovo
2.Barnabas
3.Linex
4.Rayvanny
5.Jaydee
6.Marlaw
7.Walter Chilambo
8.Mez B (rip)
9.K Basil
10.Vanessa Mdee
Ila wapo ambao wenyewe mwenyezi mungu tu amewajalia sauti nyororo bila kupitia huko
1.Rich Makovo
2.Barnabas
3.Linex
4.Rayvanny
5.Jaydee
6.Marlaw
7.Walter Chilambo
8.Mez B (rip)
9.K Basil
10.Vanessa Mdee