Sio kweli
Wewe uliona watu wanaenda madrasa kujifunza dufu
Haiwezekani mtu ahifadhi Qur'an kisha akajua mziki ni haram halafu aimbe mziki
Hahahaha1.alikiba
2.q-chief
3.TID
4.Matonya
5.MB dog
6.tunda man
nakusalimia kak anguSio kweli
Wewe uliona watu wanaenda madrasa kujifunza dufu
Haiwezekani mtu ahifadhi Qur'an kisha akajua mziki ni haram halafu aimbe mziki
Waaleikumsalam warahmatullahnakusalimia kak angu
Wengi uliowataja ni wakristo. Means haikuwa lazima wapite madrassatumezoea wanamuziki wengi wenye sauti tamu na vocal ni wale ambao enzi za utoto wao walipitia madrasa ambapo kaswida iliwatengeneza mpaka leo hii wanasauti tamu.
Ila wapo ambao wenyewe mwenyezi mungu tu amewajalia sauti nyororo bila kupitia huko
1.rich makovo
2.barnabas
3.linex
4.rayvanny
5.jaydee
6.marlaw
7.walter chilambo
8.mez b (rip)
9.k basil
10.vanessa mdee
tuko pamoja mpendwaWaaleikumsalam warahmatullah
Ahsante Dada yangu salam nimezipokea