List ni ndefu sana
1. Wasiojua kingereza
2. Waliopoteza pesa sasa wanatamani kurudisha pesa haraka
3. Wanaotamani kufanya kazi online ila hawajui waanzie wapi
4. Wanawake miaka 28 na kuendelea
5. Wasimbe
6. Wazee waliochelewa fainali uzeeni
Nija pekee ya kuepuka hili
Tafuta ujuzi wowote ujifunze au nenda Google how to sell your skill (jina la ujuzi wako) online