Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Baada ya list ya kwanza ku base upande wa wanaume. Japo kulikuwa kuna wanawake wachache..
Sasa baada ya kuwasoma kwa muda mrefu nawamwaga hapa..
Wale wenye nyodo nafasi zao hazipo..
Shadeeya -
Blaki womani-
Shunie -
Aggyjay -
Ledada -japo ana mikogo sio
Hawachi -
Khantwe -japo anapenda sana kuita watu wenzie watoto. π
Victoire -shabiki wa Man u.
Joanah -japo hapendagi masikhara.
Ihela -huyu katulia sana atakuwa kaolewa.
Warumi -huyu mmbea, ila yeye anaongea na kila mtu, japo jinsia yake inatatiza π
Mother confeser -huyu mtu yeye hanaga hiyana ku chit chat na watu, sijawahi kumuona anatukana. (naskia ana mgahawa π
Numbisa -kwenye ule uzi wetu pendwa wa isidingo yeye Mwenyekiti pale, pia anapenda kufurahi na watu..
Rebecca89-nahisi nimekosea jina ila huyu huwa ana quote kwa yeyote anayeona yuko sawa. Hana shida..
madam B - huyu kwa kujichanganya na watu ndo anapenda. (japo sijamuona kitambo), anapenda kuchangamsha genge hasa lile la chini kabisaaa....
Madam S-huyu ni mtu mmoja mpole sana japo huwa habagui comment..
demiss -huyu mtaalamu wa hapa dom kwetu yeye yuko fresh ila anapenda masikhara na kuchangamsha genge,
Hivyo naye anaingia kwenye list!..
Amu -huyu saivi simuoni ila yuko powa sanaa. ushahidi?? Alini follow so anafaa kukaa kwenye list..
Aghata -huyu anaonekana ni mtu mzima ila haimzuii kujichanganya na watu hapendi mzaha..
Wengine mtanisamehe hampo kwa hii list kutokana na vigezo..