List ya wanawake humu ndani ambao wako peace,wasio na shida na watu..(wanawake)..

Hahah nimeamua tu kujificha, angalau unimissipo

Kulea mbona kitambo sana; yaani nakaribia kustaafu hivi lol
Huyo aliyekuficha dah! Majukumu ya malezi sio sis [emoji39][emoji125][emoji125]
 
Hahah nimeamua tu kujificha, angalau unimissipo

Kulea mbona kitambo sana; yaani nakaribia kustaafu hivi lol
Oh mbona kimya hata nini shower watu hawakufanya asee, sis darling umezingua.. hahaha!!

Congrats sana!!!
 
Oh mbona kimya hata nini shower watu hawakufanya asee, sis darling umezingua.. hahaha!!

Congrats sana!!!
Hahaa waliniambia eti vyuma vimekaza so nipambane tu na hali yangu

Ndaga fijo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…