List ya wanawake kumi ambao lazima nioe mmoja wao

Sasa hiyo list wengine ni wake zawatu hapo hapo ina majike dume halafu inawatu wana allergy na rangi nyeusi, yaani hawachukuliwi ila na wazungu sasa itakuwaje....

Ushauri wangu, naona itakuwa aumefanya vizuri ukimchukua Wema labda huyu dada atapumzika na kupigwa mipira na wanaume wa kibongo.
 
Mkuu mi nakuongezea

11 bi kiroboto a.k.a maposho anatambulika sana kama ana makinda maiki wa bunge la jamuhuri ya muungano wa wadanganyika.

Mkuu huyu usimwache ni mreaji mzuri sana huyu atakulea ,kutunza kama afanyavyo kwa mafisadi wenzake.

Utatuokoa sana na pia utakuwa umeliokoa taifa letu.
 
Kumbe anapigwa mipira mimi nilifikiri anapigwa NYAMA
 
Katika sifa ya mke ninayemtaka awe MREMBO
 
Naomba utoe wasifu wako hapa jamvini ili tutoe perfect match.Kwani hawa akina dada uliowalist hapa wana tabia zinazotofautiana mno,mfano Salama na Mwamvita Makamba ni watu wawili tofauti wanaoishi kwenye dunia tofauti

utofauti wao ni upi?
 
.
Nakuchagulia Bi Kidude!
 
Shikilia Wema Sepetu..maana inawezekana wewe ukamweza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…