Bwm ndio nani?
Wewe umemla??
Sawa mkuu we zako ni kina madam rita nini??Dogo hunielewi . . .
Siwezi kula pale mimi hata kwa kushikiwa bunduki. It is a personal principle.
Nianachosema ni kuwa, Ni Celebrity wa kweli na jamii imemkubali pamoja na kuwa mambo yake si safi lakini jina lake ni kubwa. Anafurahisha.
Sawa mkuu we zako ni kina madam rita nini??
Kijana wangu, mimi nimetulia na mama yako mdogo, tunakula kuku taratibu kwa mrija tena bila fujo.
Hao wengine si umesikia Las Vegas kuna Machangu wa kiume wenye miili ya kubeba vyuma kama mabouncer? basi kina mama na madada wenye pesa zao huenda kuwachukua wakatimiza haja zao kama Machangu wa kike wanavyofanya.
Dunia mzunguko!