Aliyekudanganya Sky Eclat ni wa uswazi amekupata haswaa.Baada ya kupotea kidgo na kukuta kuna ka mtindo ka kutoa list sasa nmeamua kuja na list ya wanawake wenye mvuto humu ndani
Ambao kila mwanaume anatamani kuwa nao hawa wafuatao ni warembo haswa hii ni kutona na research niliyoifanya na pia wanashobokewa sana.
1.Girl next-door .ila ni jasusi
2.Shunie.
3.Dark angel.
4.Misstrace . kiportaple
5.Numbisa. Ila ni mchekeshaji kma ebitoke
6.Curious gal. No comment
7.Demi. Shape like vera sidika
8.Maserati..
9.Sky Eclat. Tatzo ni wauswazi
10.Faiza Fox. huyu ni mama yetu lakn ni mrembo
Hawa ndyo wenye mvuto na wanaopendwa zaidi humu
Wavumilie tu mkuu.List zinashuka tu ckuiz
Wa kufanyaje huo mwezi?Wavumilie tu mkuu.
Wamebakisha mwezi mmoja na nusu.
Simjui huyo bintiMkuu mie Girl next door huwa sijifichi namuelewa hadi sio vizuri.ila yuko serious uyo,nlimfata PM hajawahi nijibu!!ata comments zake anajibu chache sana zenye mantiki!!!Respect
Ha ha ha ha.Kama joanah hayupooo basii hiyo research kaisimamia Jecha
Wa kujiunga na vyuo vikuu.Wa kufanyaje huo mwezi?
Hahaha,mkuu watu tuko tofauti.Simjui huyo binti
Ila kwa mujibu wako anaonesha anajiskia sana,na mimi watu wa namna huwa siwakubali kabisa .
Ha ha ha ha.
Mm mwenyewe nimeshangaa mpwa wangu Joanah kukosekana kwenye hii list .
Yaah,inawezekana kabisa yaani.Ila bado mgeni huyoo hajawajua maduu wa humuu.