Anhaa basi sawa.Hahaha,mkuu watu tuko tofauti.
Yuko kwenye wale watu wanaosema "usinikubali haraka" nsumbue kwanza
Ok,ila simfahamu ndio kwaanza namsikia leo .Huyu anapatikana jukwaa la intelligence
Ha ha haHayanihusu
Hahaha,una roho ya paka mkuu.zinakutokea sana nini hizo ishuAnhaa basi sawa.
Ila watu kama hao kwangu hawana nafasi kabisa.
Nikikusalimia mara moja ukiuchuna basi ujue nakukataa mazima .
Ameshanipwelepweta
Sawa.Eti anakufahamu unandoto nyevu
YaahHahaha,una roho ya paka mkuu.zinakutokea sana nini hizo ishu
Hata mm najua huyu Sky Eclat sio wa uswazi. Huwa namuelewa sema niliwahi kumuuliza km yy ni daktari akakataa.Aliyekudanganya Sky Eclat ni wa uswazi amekupata haswaa.
Huyo ni daktari asiyekuwa na makuu
Halafu hakai uswazi,anakaa ushuani huyo ila anapenda kujimix tu na kila mtu.
Sema wana wakati mgumu sana mana idadi yao kwa sasa duniani ni kubwa mara dufu ya wanaume.ringa,wako wengiLakn mbona waliotajwa hawapo?
Nitajaribu kumwambia naumwaHata mm najua huyu Sky Eclat sio wa uswazi. Huwa namuelewa sema niliwahi kumuuliza km yy ni daktari akakataa.
Ila najua ni daktari.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1]Nitajaribu kumwambia naumwa
Huyo lazima atakuwa ni daktari tu,vitu anavyoviandika kule kwenye jukwaa la JF doctors vinadhihirisha hilo.Hata mm najua huyu Sky Eclat sio wa uswazi. Huwa namuelewa sema niliwahi kumuuliza km yy ni daktari akakataa.
Ila najua ni daktari.
Sent using Jamii Forums mobile app