Mmmh...mkuu thanxUmemsahau Witnessj, huyu yuko vizuri sana. Pia Nifah ni moto sana tena hawajivuni pm wanaresond kistaarabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Faiza kichwani yupo smart?????Kwa faiza sibishi coz kichwan yuko smart
Sawa sawa ila uyo sky esclat simfaham ila naonaga sio level ya kawaidaMvoto wote tumeangalia na ushawishi wao pia
wavumilie mkuu ,wamebakisha mwezi mmoja na nusu.Ngosha ana kazi, ni vigumu kuamini kuwa kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kukaaa akatumia kichwa chake kufikiri na hatimaye anaamua kuanzia uzi kama huu. Hata kama huna cha kufanya do not allow your brain to think stupidly. Life is very hard out there, use your brain to learn new ways of making successfully life.
What startles me is a frequencies of such threads here at jf in recent days. zipo kama kumi hivi.
God bless this generation.
Wote hao sura mbovu hawana vyura
Umechemsha mkuu, hao ni warembo asilia..Sura zao makeup nyingi tatzo
NashukurFaiza kichwani yupo smart?????
Ama kweli kila kilazaaa ana kilaza wake.