List ya wanawake warembo JF

That's true Malkia wangu
Nitaendelea kukulinda na kukutunza
Watoto wetu wakue wakimjua Mwenyezi
Wasome hadi Havard na Stanford Universities
Wakirud TZ waongoze Benki Kuu

Chief Economist
 
That's true Malkia wangu
Nitaendelea kukulinda na kukutunza
Watoto wetu wakue wakimjua Mwenyezi
Wasome hadi Havard na Stanford Universities
Wakirud TZ waongoze Benki Kuu

Chief Economist
Mzumbe tu panawatosha watoto wenu
 
Mzumbe tu panawatosha watoto wenu
Comrade
Mzumbe ni padogo sana kielimu kwa nilichopanga na kumuomba Mwenyez kwa watoto wetu
Kupanga ni kuchagua chief

Nataka waje kuwa Mabingwa ktk field watakazosomea hivyo Elimu Bora zaidi hukooo mbele ndio Silaha Namba 1

Chief Economist
 
Ckunyingne usiongee kwa sauti watu wasije kuchua kwamba topic ya research hukuielewa
wewe ndio usiongee kwa sauti kwa sababu bado hujajua ulichoandika

hebu pitia tena swali langu

be___blessed
 
List hizi kila siku ?
 
usitusemee mioyo yetu wala usitujumuishe wote tuone kile uonacho weewe..




kwangu mimi ni huyu dada[HASHTAG]#khantwe[/HASHTAG]
 
Mbna Kasie amesahaulika? Rudieni utafit wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…