List ya Wasanii wa Bongo Fleva waliioa na kupotea kabisa kwenye game

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Sijui inakuaje wasanii wetu wakisha jiingiza tu kwenye ndoa muziki inawatupa mkono kabisa,cheki list hapa chini,hao niliowawekea nyota ndo wanaishia ishia hivyo kwa mbaali japokuwa wanajitahidi kujitutumua lakini ndo ngoma inazama hivyo...
1.Marlaw
2.*Blue
3.*Mwana FA
3.*Janjaro
4.*Abdul Kiba
5.*Ali Kiba
6.D Knob
7.Mabeste
8.*Sheta(sina hakika km kaoa kweli)
9....
10...
 
9.Feruzi
10.Afande Sele.
11.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
BORA KIBA KAONA UPEPO UMEBUMA UPANDE WALE KAKIMBILIA KWENYE MPIRA.
Ila napo atambur sio lelemama kuna wanaume wa ukweli kule
 
Hapo lengo lilikua umtaje Kiba tu hamna lolote! Kiba pamoja na kuoa na bado anatoa hit song mtasubiri sana
 
Blue hajapotea na hajawai potea na ndani ya wiki mbili anarudi kwenye chart na goma LA hatari
 
Wacha Wapotee kama ADAM alipotezwa na HAWA ndio itakua hao wasanii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…