List ya wasanii waliopotea baada ya kufanya kolabo na Diamond

Hujafanya research mkuu rudi jandoni na hawa " chege and Ay siyo kama ulivo wagroup hapa hao watoe
 
Hafsa aliyeimbaga na Banana Zoro
Maunda
Zay B
Sister P
Saida
Bushoke
Wagosi wa Kaya
Pauline Zongo. .......
 
Mimi sio shabiki wa huyo jamaa ila ulichoandika ni udaku na wanga tupu, hamna connection yoyote ya yeye kuimba nao na wao kupotea. hebu nipe wimbo wowote alioimba A.Y ukawika kama Zigo remix au wa Chege ambao umefanya vizuri kama waache waowane. Sema tungo walizokuja kutoa hazina uzani kama ule ambao jamaa kasimama, Chid ndo usimuhusishe kabisa kupotea kwake na kufanya collabo na jamaa ngada ndo zimempoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…