Huyo ntamleta usijaliNgada unatakiwa uripot kesho sanne kituo cha kati
Nikiitwa na we hauponi..si uwa tunavuta woteSubiri awamu ya4
vituo vya kati viko vingi bhana niambie haraka ndo kujulikana huko ati?! Rais atajua kuna mutu inaitwa jje'sNgada unatakiwa uripot kesho sanne kituo cha kati
Lizaboni hata mimi nakuafikLizabon
Barbarosa
Wakudadavuwa
Faizafox
Troll Jf
Weee mimi mpakwa mafuta wa bwana na hiyo mambo wapi na wapi jamaniNikiitwa na we hauponi..si uwa tunavuta wote
Ha haa shenzy kweli wewe. So shida yako ujulikane tu na prezidaavituo vya kati viko vingi bhana niambie haraka ndo kujulikana huko ati?! Rais atajua kuna mutu inaitwa jje's
sasaje? waambie wafanye haraka bhana unanichelewesha atiHa haa shenzy kweli wewe. So shida yako ujulikane tu na prezidaa
ha ha ha ha ha.ushahidi tafadhali...
Huyo Wa kwanza hauzi madawa tu..Anauza hadi wanaume
We utakuwa umepakwa mafuta ya vitumbua labdaWeee mimi mpakwa mafuta wa bwana na hiyo mambo wapi na wapi jamani
Mbona huja weka jina lako?1. Prof. mshana jr
2. mtu mzito
3.
Jazia wengine...
Ha ha[emoji23]Huyo Wa kwanza hauzi madawa tu..Anauza hadi wanaume
kingpin wao MziziMkavu anadawa hadi za kufukuza maruhani jina lake lenyewe ni dawa