- What a Great thinkers, kwa muda mfupi niliokuwemo hapa nimegundua kuwa viongozi watano wa Tanzania wanapendwa sana hapa JF, nao ni Rais Kikwete, DK. Malecela, Mheshimiwa Lowassa, Mh. Rostam, na Mama kilango.
- Saafi sana wakuu tunakula elimu ya bure kwa pembeni wekeni elimu nzito hii kwa faida ya taifa.
William.
Nakuunga mkono FM. Lakini sahihisho dogo kutokana na kumbukumbu zangu Nyerere aling'atuka CCM mwaka 1990. Wakati wanapitisha vyama vingi mwaka 1992 Mwalimu Nyerere alialikwa tu. Tena katika ushauri wake kwa CCM ilikuwa lazima wakubali mfumo wa vyama vingi. Ni Malecela huyo huyo aliyesema kwamba wale watakaohama CCM 'they be left out in cold'
Kamanda
Can you rephrase this caption ......kupendwa nachukulia in a positive way...sasa RA, JK, EL please give me a breath....
- What a Great thinkers, kwa muda mfupi niliokuwemo hapa nimegundua kuwa viongozi watano wa Tanzania wanapendwa sana hapa JF, nao ni Rais Kikwete, DK. Malecela, Mheshimiwa Lowassa, Mh. Rostam, na Mama kilango.
- Saafi sana wakuu tunakula elimu ya bure kwa pembeni wekeni elimu nzito hii kwa faida ya taifa.
William.
I beg to differ, Mama Kilango anapendwa hapa JF the same kama hao wengine uliowataja? Nadhani ranking zao ni tofauti sana....Muondoe kwanza Mama Kilango then and then tutaangalia ni kwa jinsi gani hao wengine wanapendwa hapa JF.
- Mkulu Mushi heshima mbele mkuu, jaribu kutafuta records za threads zinazowahusu ziko ngapi kwanza ndio ujibu, next time fanya utafiti kwanza mkuu najua wewe ni mtu makini.
Respect!
Wazee wa sauti ya umeme FMES, wazee wa meli!
Good to see you back man......kata ishu Mkuu....no doubt pengo lako lilikuwepo.....and we ( at least I) felt it........
- Mkulu Mushi heshima mbele mkuu, jaribu kutafuta records za threads zinazowahusu ziko ngapi kwanza ndio ujibu, next time fanya utafiti kwanza mkuu najua wewe ni mtu makini.
Respect!
Wazee wa sauti ya umeme FMES, wazee wa meli!
Mbona mnataka kutuchanganya? Kuhani ameweka vithibitisho kuwa Mwalimu aliachia uenyekiti wa CCM mwaka 1990. Sasa hilo la alitamka lini lina umuhimu gani? Katiba ilibadilishwa kuruhusu vyama vingi mwezi juni 1992. Wakati huo, Mwalimu ameishang'atuka.
Respect FEMS,tunafurahi sana you're back mkuu...Lakini niliandika message hiyo kwa namna hiyo makusudi,lakini nita verifr further...Niliamua kuwa sarcastic kidogo,sikuelewa ni kwanini aliwa group viongozi hao wengine sambamba na Mama Kilango kwani ni kumwonea Mama yule ambaye hapa JF watu tusiokuwa na vyma tunafurahia kazi zake na busara zake nyakati flani,so sijawahi kuona Mama ana kashfa zenye mwelekeo wa wowote ule unaoendana na grouping aliyoichoose ndugu W.J Malecela...Once again,ni grouping....Equation haijakaa sawa.
Najua alimaanisha "Kuchukiwa" ama kusemwa semwa sana isivyo vizuri,sijawahi kusikia Mama akitajwa kwenye kuhusika na Dowans,Richmond,EPA, wala RADA,na ndio maana nikamwambia i beg to differ kwani historia ya Mama hapa JF ni njema tu.
- What a Great thinkers, kwa muda mfupi niliokuwemo hapa nimegundua kuwa viongozi watano wa Tanzania wanapendwa sana hapa JF, nao ni Rais Kikwete, DK. Malecela, Mheshimiwa Lowassa, Mh. Rostam, na Mama kilango.
- Saafi sana wakuu tunakula elimu ya bure kwa pembeni wekeni elimu nzito hii kwa faida ya taifa.
William.
Nani anamchanganya nani? Malecela ndiye aliyesema kuwa Mwalimu aliyasema maneno hayo 1992. Utasemaje unang'atuka wakati hushikilii cheo chochote?
Mbona mnataka kutuchanganya? Kuhani ameweka vithibitisho kuwa Mwalimu aliachia uenyekiti wa CCM mwaka 1990. Sasa hilo la alitamka lini lina umuhimu gani? Katiba ilibadilishwa kuruhusu vyama vingi mwezi juni 1992. Wakati huo, Mwalimu ameishang'atuka. Sasa atatamkaje maneno hayo mwaka 1992 wakati aliishang'atuka mwaka 1990? Bila shaka alitamka wakati anang'atuka yaani mwaka 1990.
Sasa, Mkuu Mzee Mwanakijiji, si wewe ambae mara nyingi unatulaumu kwa uvivu wa kufikiri. sasa hata kwenye hili ulitaka Kuhani atamke kila kitu? Mbona mimi nimemuelewa pamoja na kisomo changu hafifu?
Amandla....
Nani anamchanganya nani? Malecela ndiye aliyesema kuwa Mwalimu aliyasema maneno hayo 1992. Utasemaje unang'atuka wakati hushikilii cheo chochote?
Naona haujalielewa jamvi. Hapa hakuna popularity contest. Hakuna anayependwa na jamvi. Of course members, individually, wengine wana soft spot na baadhi ya hao uliowataja na hata ambao haukuwataja. Lakini mbele ya Jamvi, wote watapimwe kutokana na matendo yao na matamshi yao. Atakosolewa au kupongezwa kutokana na ishu inayozungumziwa na si kingine. Ndivyo ninavyoelewa.
Amandla........
FM.. sipendi vitu nusunusu, kusema aling'atuka aidha 1985 au 1990 hakujibu swali la haya ya "mimi nang'atuka nawaachia.." Yalisemwa lini. Mzee Malecela kasema yalisemwa 1992. Aidha yuko sahihi au la. Kwa sababu 1995 Nyerere bado alikuja na kuzungumza na alishiriki kampeni kama mwanasiasa. Hivyo just to satisfy my curiosity maneno hayo yalisemwa lini exactly; kusema aling'atuka mara mbili (1985 na 1990) hakujibu swali la maneno yalisemwa lini.

Inasemekana kuwa maneno haya yalitamkwa Agosti 1985 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee.
Amandla.........