Lita ya mafuta ya kula imefika Tsh elfu 10. Rais Samia ajulishwe na aingilie kati

Hata kama kuna tatizo jitahidi kueleza uhalisia wa tatizo bila kuongeza chumvi.

Unapochanganya tatizo lako na uongo andiko lako litaonekana porojo za kisiasa
 
Dar sehemu nyingi wanauza 9000 kwa sasa
 
Wanaomkosoa jamaa usikute hata dukani hawaendagi ni unafiki tuu....nipo bahi nimetoka nunua sasa ivi lita moja ya korie sh elfu sita.....alizeti sijauliza
 
Hadi mteme ndoano
 
Rais ndio anaepandisha bei ya mafuta? Eti Rais ajulishwe,haaaa
 
Kwani lazima utumie mafuta ya alizeti? Unaweza pika bila mafuta ukiwa na njaa utakula tuu
 
Acha kupotosha nmenunua jana lita3 kwa 28,000 elfu yapo kwenye dumu mafuta ya alizet singida
Lita 3 au 5 mkuu? Nimeuliza mtu hapa, singida fresh ni 28,000 per 5ltrs, wastani wa 5,600tsh kwa Lita.
 
Mnapenda nyama nyama tuuu vyakula unhealthy kwa nini msibadilike muwe mnakula mbogamboga na magimbi
 
Nakataa kabisa hapa tabora kilo ya nyama ni 6000 juzi nilikua Shinyanga bei ni hiyo hiyo, sasa we unaongea nini sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…