Lita ya mafuta ya kula imefika Tsh elfu 10. Rais Samia ajulishwe na aingilie kati

Wacheni kuyakwepa matatizo ya wananchi kwa kucompare na nchi jirani kama yamepanda kenya ndo uhalalishe kupanda tz?
 
Hata kama kuna tatizo jitahidi kueleza uhalisia wa tatizo bila kuongeza chumvi.

Unapochanganya tatizo lako na uongo andiko lako litaonekana porojo za kisiasa
Nimeongeza chumvi wapi?hivi wewe hata madukani unapajua kweli?
 
Sundrop 5 litre ni 37000 Dar sasa anasema litre ni 5000 yy ananunua wapi?
 
Nasikia nondo zimepanda beii. Hivinishingapi
 
Singida Lita ya Alizeti elfu 4 , Mbeya Lita elfu 6000 , Dom elfu 5000, Mwanza elfu 6000.
 
Ni muda sasa watu waanze kula vyakula visivyo na mafuta. Mbona kuna watu tunaishi bila kutumia mafuta hata miezi 6?Lwanza kiafya ni nzuri sana.Tupunguze vitambi na pressure aio mbaya.
Ila hawa wasioshusha bei za bia ndo wanaoniudhi☹😒
 
Acha kupotosha nmenunua jana lita3 kwa 28,000 elfu yapo kwenye dumu mafuta ya alizet singida
Sasa hii inatofauti gani na elf 10/L?
Kwa hizo 3ltrs ni kama whole sale au umepata discount kwa kununua kwa kipimo kikubwa
 
Jana nimenunua alizeti ya singida hapa Dar,5L kwa 29,000/= kwa mangi mmoja yuko hapo kimara.
 
Badala ya kulaumu nenda kapate tiba ya allergy yako, maana hapa ni kama unatukana wanaotumia mafuta ya Korie, kana kwamba sio watu.
 
Ccm wameshindwa kabisa kuweka sera watz wabomoe misitu wapate mafuta kweli.
 
Chifu Hang ya!!!

Nasema kazi iendelee!!! Akina mama oyeee! Wanawake oyeeee! Watu wenye jinsia kama ya wa vichokochoko oyeeeee!

 
Kama ni kweli hiyo bei itahamasisha wakulima kulima alizeti.
 
Umpigie kura usimpigie kura bado atatangazwa kuwa Rais tu, kura kuamua nani awe kiongozi mkuu wa nchi ni mpaka kuwe na "constitutional reform" ambayo pia alisema anajenga kwanza nchi...

Option ni
1. Kuidai katiba mpya kwa useriaz kabisa mpaka kura iwe na uwezo wa kuamua kiongozi mkuu wa nchi

2. Tuendelee kutulia na kuvumilia maamuzi yao dhidi ya walio wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…