Lita ya mafuta ya kula imefika Tsh elfu 10. Rais Samia ajulishwe na aingilie kati

Kila kitu aingilie kati, mtajamuua huyu bibi na presha[emoji23][emoji23]
 

Huyo yuko busy na rais mwanamke ajaye 2025
 
Mafuta 5000/= kwa litre SINGIDA nashangaa mnasema 10000 itanibidi nianze kusafirisha mafuta to dar
 
We ni muongo Lita ya alizeti ni elfu 5 km unabisha njoo Pm uje na hela yako nikuletee mafuta acheni KUANDIKA habari za kusimuliwa
...Nyama pia ametoa hesabu siyo. Huku mbezi mwisho kwetu Nyama Kilo ni Alfu 8....japo haipo mbali sana na 10 !!
 
Badooo..Badoo..hadi ifike Lita Moja 50k ndiyo akili itatukaa Sawa
 
Yeah serious problem, mafuta yanapanda Bei Kila kukicha yaan wapishi wakina mama wanatumia sana daah sasa hvi kutatokea na effect ya Bei ya vyakula vinavyo tumia mafuta haswa mtaani!!
 
Kwanza bei ulitotaja sio halisi.
Kitu cha pili bei ya hizi bidhaa haipangi serikali soko ndio linaamua (supply and demand)
 
Kila mwaka mnaimba wimbo huo huo. Muwe mnanunua hata Lita 20 yakiwa kila Lita 4500 kwa matumizi ya Nyumbani maana hata ya kikaa mwaka huawa hayaozi
 
Kila mwaka mnaimba wimbo huo huo. Muwe mnanunua hata Lita 20 yakiwa kila Lita 4500 kwa matumizi ya Nyumbani maana hata ya kikaa mwaka huawa hayaozi
Mkuu hapa umeongelea kwa mtanzania mwenye uwezo wa kununua hizo lita 20 kwa wakati mmoja, watanzania walio wengi hata lita moja tu kwa wakati mmoja ni shughuli pevu, ni mwendo wa vibaba....Tukizungumzia mfumuko wa bei tunajaribu kumgusa kila mwananchi.
 
Kila mwaka mnaimba wimbo huo huo. Muwe mnanunua hata Lita 20 yakiwa kila Lita 4500 kwa matumizi ya Nyumbani maana hata ya kikaa mwaka huawa hayaozi
Lita 20 mwaka? Uko serious?
 
Hamgusi lakini vya hotelini, canteen, chips vuruga, mnakula na kwenye magenge ambapo 100% ya mafuta wanayotumia ni hayo ambayo umesema hugusi..
 
Aliye haribu soko la mafuta ni raisi wa awamu ya tano baada ya uzuia vibali vya kuingiza mafuta ya kupikia kutoka nje bila kufikiria madhara yake. Nakumbuka hata sukari alifanya hivyo hivyo na kwasababu sukari inauzwa kupitia mfumo maalum ndo maana waliweza kudhibiti lakini kwa mafuta ningumu soko ndo litaamua au labda waagize kutoka nje ili yaje ya neutralize bei iliyopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…