Litakua ni jambo la shukrani wasanii wa Afrika mkaenda kumtazama P Diddy mahabusu

Litakua ni jambo la shukrani wasanii wa Afrika mkaenda kumtazama P Diddy mahabusu

Joined
Jun 17, 2024
Posts
5
Reaction score
2
Huo ndio urafiki sio kusifia tu kwenye media.

Hapo nyuma kulikua na kundi kubwa la wasani wa kiafrika kumsifia sana Didy kwamba ni mtu poa sana anasaidia na kuinua wasanii.

Kwasasa yupo kwenye matatizo wasanii wote mmepiga kimya.

Kama hamta tenda wema kwa mwenzenu naninyi mtaanguka tu.

Katika maisha lazima upitie misukosuko lakini hiyo haimanishi kwamba marafiki wakukimbie.

Hayo mengine aliyotuhumiwa nayo nadhani Mungu ndio mtoa hukumu wala sio watu.

Mungu amsaidie atoke huko gerezani.
 
Back
Top Bottom