Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 134
Cha msingi muda ndo kuanzia mwez 5 2ma application letter wizarani omba DIPLOMA IN ANIMAL HEALTH(DAH) AU DIPLOMA IN ANIMAL PRODUCTION(DAP). Thn nenda kwny chuo husika pia onana na principal andikisha jina akuweke kwny orodha.
Jaman cnimeuliza au ndo mnajfanya hamjui?
kwan ni lazma kukujbu,we nani alikuambia ufeli?