Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Tunaendelea na kampeni jamani hata kama muda haujafika.... wapinzani mpo?
=====
Mwezi wa 11 tunakwenda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, wenye sifa za kugombea wakagombee bila kuwekeana mizengwe, wenye sifa za kuchagua nawaomba wote twende tukachague. Haijuzu wewe unategea kwenda kuchagua, wengine wanaenda kuchagua wewe unakaa kwenye vikao unaanza kulalamika, ungekwenda kuchagua wa kwako ungempa mzuri unayemtaka.
Naomba wote tutoke tukachague viongozi wetu, mmeona muelekeo wa serikali yetu, ni maendeleo kwenye elimu, afya, maji, kilimo, umeme, bila ya kuwa na viongozi wazuri kwenye maeneo yetu, maendeleo haya hayatakwenda vizuri.
Kwahiyo nendeni mkajipangeni vizuri mchaguane. Chagua Chama Cha Mapinduzi ili maendeleo yawe juu kwa juu.
Niwakumbushe tar 11-21 Oktoba ni kujiandikisha kwaajili ya kupika kura uchaguzi serikali za mitaa, nah ii ni tofauti na uboreshaji wa daftari la uchaguzi mkuu, hivyo viongozi muhimize wananchi kujitokeza kupigia kura Chama Cha Mapinduzi.