Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well saidNeymar hakuwa anajitunza, na pia mpira anaocheza unamfanya agongwe gongwe sana, ilihitajika autunze sana mwili wake, starehe nyingi alipaswa kuweka kando.
Neymar ni mburudishaji bora sana, kumtizama ni burudani, japo kuna wakati burudani alikuwa anazidisha kiasi anaweza kuharibu move ya goli, kwakwe burudani kwanza kisha basic baadae, ronaldinho alikuwa anafanya badic yenye burudani.
Ila neymar ni gifted zaidi ana skills nyingi mnoo
Nipo na neymar hapa tunacheka tu ulichosemaHuyo mchezaji wenu sijawahi kumkubali kabisa.
Gharasa hilo
Ronaldinho alikuwa balaa yule mwamba kwanza alikuwanaipenda kazi yake. Akiingia uwanja ucould see in his face and smile that this is wat he was born to do, entertain us with his mesmerizing skills and audacity to try wat many footballers do in training but are afraid to do it in matchesNeymar hakuwa anajitunza, na pia mpira anaocheza unamfanya agongwe gongwe sana, ilihitajika autunze sana mwili wake, starehe nyingi alipaswa kuweka kando.
Neymar ni mburudishaji bora sana, kumtizama ni burudani, japo kuna wakati burudani alikuwa anazidisha kiasi anaweza kuharibu move ya goli, kwakwe burudani kwanza kisha basic baadae, ronaldinho alikuwa anafanya badic yenye burudani.
Ila neymar ni gifted zaidi ana skills nyingi mnoo
Daima Ronaldinho ataonekana bora mbele ya neymar kwa mafanikio, haswa na jinsi alivyoibeba timu. Lakini kubwa kuliko ni hili la kwenye basic anafanya lakini anaongezea na burudani, mfano pasi inapaswa kupigwa sehemu fulani ambapo ndio best option zaidi anaweza akatoa hiyo pass with no look pass, ama rabona kisigino etc lakini tayari katimiza jambo la mpira.Ronaldinho alikuwa balaa yule mwamba kwanza alikuwanaipenda kazi yake. Akiingia uwanja ucould see in his face and smile that this is wat he was born to do, entertain us with his mesmerizing skills and audacity to try wat many footballers do in training but are afraid to do it in matches