Little Tanzanian magician - Tepsie Evance

Kwa dakika zile chache nilizomuona, ningekuwa scout nishampitisha.

Naona tshabalala kapata mshindani haswaa
Yes Pascal Msindo ni mchezaji mzuri na ana ujasiri sana.

Mimi nilimuona kwenye mechi ya Simba na Azam ni kipaji kikubwa sana.

Nafikiri zamu hii Simba wakienda Azam wabebe Pascal Msindo, Tepsie Evance na Sospeter Bajana.
 
Bajana ni Tank
 
Akiweka nidhamu atakuwa nyota mkubwa mimi nilianza kumwona akicheza Ihefu kama sikosei ana skills na ball control ya hatari sana. Asilewe sifa walikuja kina Singano wakabatizwa majina ya Kina messi wa kaona wamemaliza na wakapotea mazima
 
Yes Pascal Msindo ni mchezaji mzuri na ana ujasiri sana.

Mimi nilimuona kwenye mechi ya Simba na Azam ni kipaji kikubwa sana.

Nafikiri zamu hii Simba wakienda Azam wabebe Pascal Msindo, Tepsie Evance na Sospeter Bajana.
Yes, bajana nimemuona game kadhaa, nakiri ni midfielder mzuri, anaweza kucheza na wachezaji wakubwa.
 
Tepsie Evance ni fundi haswàa huyu dogo akiendelea hivi namuona mbalii sana
 
Kwanini kabadili jina.. Umenifungua macho kitendawili changu cha muda, niliwahi kuona mchezaji anaitwa Brayson, ghafla nikawa simuoni, nikaja kumuona huyu banyana sasa naona wanafanana [emoji23], nikahisi labda nilichanganya madesa. [emoji23]
Ni uyo uyo mkuu strong man , wakati anaenda academy azam alitimia jina ya Bryason sasa alipokuja kuwa star ndo mwenye jina akaanza chokochoko ikabidi afuate taratibu kubadirisha jina
 
Keshatupa na leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…