UmtwaAlumbwagwe
Member
- May 24, 2012
- 54
- 10
Hii nimeipenda sana,italeta maendeleo na kupunguza gharama,mawaziri 15 saizi kabisa maana wengi tulionao kwa sasa wanaongeza idadi tu lakini hawana jipya,waziri kama magufuli hata umpe wizara 3 ataziweza,cha msingi ni ku-merge na kuwa na wizara chache sana na kuwa na mawaziri ambao ni so compitent kuendesha wizara hizo,majimbo ya uchaguzi 25 ni burudani tosha,wabunge wengi ni mzigo tu,wengi wanaenda kujaza bunge tu na kusinzia na kuishia kugonga meza kusapoti kila hoja inayotolewa,wengi wamechoka kimwili na kifikra na uwezo wa kufikiri umefikia kikomo,tukipata wabunge 25 mfano kama Tundu Lisu regardless wametoka chama gani wanatosha sana kujenga hoja na nchi ikasonga mbele.KAMA NI KWELI HONGERA SANA TUME YA WARIOBA KWA KUTOA MAPENDEKEZO CONSTRUCTIVELLY japo najua fika yatakutana na pingamizi kubwa toka kwa wabunge na mawaziri kwani hawataruhusu ulaji uondoke kirahisi.Pia nadhani wakuu wa mikoa na madiwani wangeondolewa kabisa,hawana umuhimu kwa dunia ya leo,wachaguliwe viongozi kwa kura na sifa maalumu academic ili wawe viongozi wa mikoa na wawajibike kwa wananchiKati ya mambo mengi yaliyoelezwa ni pamoja na 1. IDADI YA MAWAZIRI WASIOZIDI 15. 2. TANZANIA BARA KUWA NAMAJIMBO YA UCHAGUZI 25 TU kila JIMBO WABUNGE (2)WAWLI. 3. BUNGE LA MUUNGANO LIWE NA WABUNGE 75 (Toka Zanzibar 20, bara 50, na wawakilishi wa makundi maalum watano )
Wakurungezi pamoja na Makatibu wakuu wapigiwe kura na wananchi
Kati ya mambo mengi yaliyoelezwa ni pamoja na 1. IDADI YA MAWAZIRI WASIOZIDI 15. 2. TANZANIA BARA KUWA NAMAJIMBO YA UCHAGUZI 25 TU kila JIMBO WABUNGE (2)WAWLI. 3. BUNGE LA MUUNGANO LIWE NA WABUNGE 75 (Toka Zanzibar 20, bara 50, na wawakilishi wa makundi maalum watano )