LIVE: Bayern VS Barca, siku ya kufa Mbwa pua zote zinaziba

LIVE: Bayern VS Barca, siku ya kufa Mbwa pua zote zinaziba

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
20,649
Reaction score
4,786
Bavaria au Bayern Munich kutoka ktk mji wa Munich nchini Ujerumani leo wanawakaribisha Barcelona ktk dimba la Alianz Arena ktk mechi ya marudiano hatua ya Nusu Fainali ya klabu bingwa barani Ulaya.

Barca akiwa na mtaji wa magoli matatu aliyoyapata maji ya jiooni ground kwake Nou Camp ni sawa na kusema kaweka booking ya Hotel ila hajakubaliwa na Demu...kwani Demu mwenyewe anajielewa na sio wa kushika mkono kama mademu wa EPL.

Barca inabidi wajipange la sivyo watabakwa leo.
bayern ktk uwanja wao walishambamiza mtu goli 7 kisha wakambandua mwingine goli 6, na hata Barca hapa mara ya mwisho kufika alinanihiwa goli 3 ktk mechi ya marudiano baada ya ile ya mwanzo iliomalizika kwa Barca kula goli 4·

Forza Milan...
 
Leo kama kawaida.....natarajia yasiyotarajiwa na wa barca!!! naiman gadiola amewaweka vizuri wachezaji hasa viungo na mabeki!!! all in al ushindi muhimu!!
 
Endelea kujipa moyo kwa chuki zako kwa Barca, leo Barca akitolewa Invisible nipige Ban ya Wiki nzima, leo panachimbika Allianz Arena, hatoki mtu, na kombe tunabeba.
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na kuwa siipendi barca. Ila hii game ni rahisi sana kwa barca
 
Buyern Munchen bila Roben na Ribery hakuna kitu,Barca for final,Neymar atatoka na goli leo
 
Harafu Gang Chomba kwa thread za kijinga kama unaweza ukajishushia heshima yako.
 
Last edited by a moderator:
Harafu Gang Chomba kwa thread za kijinga kama unaweza ukajishushia heshima yako.

Heshima niliyonayo nyumbani Mogadishu inatosha.
nimeandika bila unazi but maneno yanakutoka sheikh...je nikiandika kama kawaida yangu si ungeshanishitaki kwa MODS?
 
Last edited by a moderator:
Mechi ilishaisha toka camp kule,guardiola hana uwezo wakubadilika kimchezo,alivyocheza majuzi ndo atavyocheza leo na ndivyo atavyopigwa na counter attack kama kawaida...bayern ile ya moto ya msimu juzi siyo hii ya mpira wakucopy nakupaste...kuifunga timu inayofundishwa na guardiola ni rahisi kuliko kuifunga timu ya mchangani itayofundishwa na mourinho....hata bayern wangekuwa full mziki,kina ribery na roben ndan as long guardiola ni kocha kipigo kiko pale pale atapokutana na timu zenye makocha wenye plan zaid ya moja...
 
Messsi ni habari nyingine kabsaaa kulikuwa na akina Pele mkongwe wa dunia alimpinga MESSI na mwishowe akampa heshima sembuse wewe CHOMBA ambaye hata Wanyama hakujui
 
bro gang chomba anaweza akaonekana anafurahisha but this football, unakumbuka arsenal na intermillan? walcot anapiga hat trick, unakumbuka liver walivompora AC milan kombe na ile comeback ya goli 3?? mbaya zaidi ni allianz alena mnapaelewa katka game mbili za uefa zilizopita zimepatikana goli 13, game ni ngumu kwa bayern lakn barca wasijipe 100% kuwa watampiga bayern
 
ni kweli mkuu ila sio kwa BARCELONA
 
Messsi ni habari nyingine kabsaaa kulikuwa na akina Pele mkongwe wa dunia alimpinga MESSI na mwishowe akampa heshima sembuse wewe CHOMBA ambaye hata Wanyama hakujui

dah kwanza huyo Kipele wako hajawahi kucheza soka Ulaya na wala hajawahi kuifunga Goli AC Milan.

na huyo Nesi hajawahi kubeba World Cup.

next tyme ukitaka kutaja nguli wa soka basi taja jina juu ya majina yaani Ronaldo de Assis Morreira almaaruf kama Ronaldinho Dinho Gaucho Magic
 
ni kweli mkuu ila sio kwa BARCELONA

who are they?
wana champions league ngapi?
msitake kuwasahaulisha watu hapa..

hao Barca walibakwa jumla ya Goli 7 mara ya mwisho kukutana na Bayern.

msijisahaulishe na kuipandisha hio timu iwe kama Madrid au Milan
 
Mkuu kwani wewe timu gani hebu tuwekane waz maana unaichukia sana.barca
 
Heshima niliyonayo nyumbani Mogadishu inatosha.
nimeandika bila unazi but maneno yanakutoka sheikh...je nikiandika kama kawaida yangu si ungeshanishitaki kwa MODS?

utakuja kufa mapema kisa unaichukia Barca.
 
Mechi ilishaisha toka camp kule,guardiola hana uwezo wakubadilika kimchezo,alivyocheza majuzi ndo atavyocheza leo na ndivyo atavyopigwa na counter attack kama kawaida...bayern ile ya moto ya msimu juzi siyo hii ya mpira wakucopy nakupaste...kuifunga timu inayofundishwa na guardiola ni rahisi kuliko kuifunga timu ya mchangani itayofundishwa na mourinho....hata bayern wangekuwa full mziki,kina ribery na roben ndan as long guardiola ni kocha kipigo kiko pale pale atapokutana na timu zenye makocha wenye plan zaid ya moja...

Mwambie huyo, Bayern sijui kwanini waliamua kumpa kazi Pep, kocha hovyo kabisa huyu.
 
Back
Top Bottom