LIVE: Bayern VS Barca, siku ya kufa Mbwa pua zote zinaziba

Mhhhh, naona matumaini ya Bayern kutoka katika hii game yanayeyuka! Ngoja tuone....
 
Endelea kujipa moyo kwa chuki zako kwa Barca, leo Barca akitolewa Invisible nipige Ban ya Wiki nzima, leo panachimbika Allianz Arena, hatoki mtu, na kombe tunabeba.

Kweli kaka
 
Last edited by a moderator:
Hii fainali haitapendeza,juventus akishinda barca watakuwa Kama wanamwangusha mlevi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…