LIVE: Bayern VS Barca, siku ya kufa Mbwa pua zote zinaziba

mara ya mwisho kushiriki UEFA alimfungaga Barca pale Italy goli 2-0 akadhani amepita, alivyoenda Camp Nou akapigwa 4-0, na Messi akaweka wavuni bao mbili.

hah hah hah hah kumbe hio kwako ndio mara ya mwisho?

basi mara ya kwanza ilikuwa ktk Fainali ya Champions League mwaka 1994...
nenda kamuulize Guardiola kwanini Barca iliwabidi wavae pampas wiki nzima?
 
ugumu wa bayern kushinda n kwamba wachezaj waliofungwa ni wale wale ambao wameanza leo kumkosa robben(injured) imekuwa tatzo kubwa:; siku expect makubwa kutoka kwao
 
mara ya mwisho kushiriki UEFA alimfungaga Barca pale Italy goli 2-0 akadhani amepita, alivyoenda Camp Nou akapigwa 4-0, na Messi akaweka wavuni bao mbili.

kumbe AC MILAN basi ndio maana...
 
mimi ni Mshabiki wa ile klabu yenye makombe 18 ya kimataifa na 7 kati ya hayo ni ya ubingwa wa Ulaya.

pia ni msemaji wa klabu hiyo hapa Africa ya Mashariki, fahamu pia Klabu hio ndio imewahi kuwa na wachezaji nyota zaidi ktk historia ya Soka...

sawa mkuu unaizungumzia klabu iliyotoka hivi majuzi kupigwa na genoa 3 na ambayo kwenye mechi kumi zilizopita imeshinda mbili ok nimekupata mkuu na asante kwa kushangilia jamvi la wageni
 
mmmmmh sio kweli,kwani utofauti wa kukosekana kwa ribery,robben na alaba umeonekana na kama wangekuwepo basi pangechimbika.
kwa maana bayern walikosa watu wakukimbiza mipira mbele so hao watu hatari sana amsha amsha yao...
ongeleni fc barce..
 
Kesho my Ronaldo jamani namsubiria wakifungwa najua atalia esp baada ya bac kupita leo.
 
mmmmmh sio kweli,kwani utofauti wa kukosekana kwa ribery,robben na alaba umeonekana na kama wangekuwepo basi pangechimbika.
kwa maana bayern walikosa watu wakukimbiza mipira mbele so hao watu hatari sana amsha amsha yao...
ongeleni fc barce..

Asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…