Live:Bibi arusi aingia mitini mbeya

i pad3

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
1,518
Reaction score
378
Jamani tupo kwenye harusi hapa bibi harusi kaingia mitini ,tunaendelea kupiga kinywajji hayo mengine waatajua wenyewe
 
labda walimlazimisha,bwana harusi analo hilo alinywe lol
 
more updates..tone radio in facebook
 
mitaa gani hiyo tutokee wakuu, maana usiku mrefu
 
Vipi hajaingia?weka picha ya bwana harusi.kuna umuhimu wa kuwa na spear bibi harusi,hapo angemjulisha mwingine akaja wakamaliza mchezo
 
mitaani hiyo tutokee wakuu, maana usiku mrefu
 
wap hapa mkapa? Au huu mpya wa hapa oposite na dhando royal zambezi, mbeya peak, mount, au magereza?
 
Kakimbia hogo la jang'ombe
 
Walishatoka kanisani au kaingia mitini hata kanisani!? Kaaaz kwel kwel!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…