Live bila Zengwe

Kivumah

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,427
Reaction score
1,054
..Rete Heraa Harakaaa kabla Sijakuaresti nikupereke Central
 

Attachments

  • rushwa.jpg
    20.8 KB · Views: 898
Kama mabosi wake wanachakachua live bila chenga unategemea nini? Amani na Utulivu aka Uoga na Upumbavu
 
maskini unanikumbusha jerry muro

Ndo maana wakiambiwa na ccm kuua raia wanakubali kwa kuwa wanajua kuwa kama sisiemu ikitoka kikaja chama makini hakitavumilia maupuuzi kama hayo ya rushwa hadharani. Nchi hii inasikitisha sana, kila kitu kinajiendea chenyewe hakuna wa kusimamia na kuzuia. Mossong u Dr Slaa, ungeokoa jahazi la waTz
 
Licha ya haya yote, jamii yote imeoza! Je wewe umechukua hatua gani? Kama huitoi hapa barabarani, basi hospitali ili uwahi kutibiwa/ maiti ya jamaa yako iwekwe kwenye friji mwanayamala/tmk/amana!, au ardhi, au unahonga ili upate cheti feki/ feki itumike kama original kazini/ajira / shule/chuo! Au unahonga TRA wasikuchaji kodi kubwa inayostahili au isostahili, the difference mna-share na ofisa wa kodi pamoja na clearing agent! Kwa hali tu ya kawaida tu sasa hivi there is a bluntant moral decay in our society!
 
Tanganyika na watanganyika wake!!! :crying:
 
Hawa wa barabarani rushwa wale wa ffu na general duty kazi yao kuua raia-wote wamefundishwa kupora na kuua raia.
 
Hawa wa barabarani rushwa wale wa ffu na general duty kazi yao kuua raia-wote wamefundishwa kupora na kuua raia.


wa magerezani ni mabingwa wa kutesa watuhumiwa bila kosa lolote. Nilisema upolisi usiwe kimbilio la waliokosa dili za maisha sikueleweka. Matokeo yake ndo haya...rushwa live.
 
Duh!! Hiyo ni kali sana majameni. Yaani live bila aibu....huyu askari ana moyo!!!!
 
Hana Moyo njaa tu na wizi umewajaa hata uwape nini ndio tabia yao sijui mafunzo yao na hilo limo la ujasiri
Duh!! Hiyo ni kali sana majameni. Yaani live bila aibu....huyu askari ana moyo!!!!
 
Aroo sisi titakulipa asilimia 25 tu ya mshahara nyingine iko kwa raia. Sawa?????????????????

Katika storystory niliwahi ckia kuna jamaa anaiita uniform yake kuwa coster kwamaana inalaza hesabu sawa na ya coaster. Ikifika jioni anasema anenda kupaki coater yake nyeupe.
 
kwa hali unategemea hiyo rushwa itaisha kweli?
 
Duh!! Hiyo ni kali sana majameni. Yaani live bila aibu....huyu askari ana moyo!!!!


mbona serikali kuu yenyewe inafanya hivyo hivyo, kina jk wenyewe ndio dili zao hizo ijekuwa huyu traffic police?

ndio issue kama za dowans zinakuwa ni ngumu kizisolve manake presida alishafanya kama huyo traffic kwenye hilo dili
 
Je na wewe hupokei ama kutoa rushwa? isijekuwa unamnyooshea kidole mwenzio wakatoi ww ndo mtaalamu....:frusty: :frusty: :A S 39:
 
omba usikamatwe mitaa ya pale redcross au karibu na kisutu kuna ukuta upo hapo karibu na sheli ya bp ndo hapo unatakiwa ukatoe mchango wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…