Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 960
- 927
naona unataka kuungana na jerry murooooo
ukijidai unajua wana ku-Jery Muroulivyomnasa ulichukua hatua gani? au ndiyo walewale.
mbona serikali kuu yenyewe inafanya hivyo hivyo, kina jk wenyewe ndio dili zao hizo ijekuwa huyu traffic police?
ndio issue kama za dowans zinakuwa ni ngumu kizisolve manake presida alishafanya kama huyo traffic kwenye hilo dili