LIVE BRODCAST YA KWANZA TV E : SHOW YA MCHIZI WANGU FROM MWEMBE YANGA TEMEKE

LIVE BRODCAST YA KWANZA TV E : SHOW YA MCHIZI WANGU FROM MWEMBE YANGA TEMEKE

Ndandalo

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
388
Reaction score
111
LEO ndo kwa mara ya kwanza Tv E wanarusha matangazo ya moja kwa moja toka Show ya mchizi wangu mwembe yanga Temeke.....wajuzi tuwape pongezi zao na ushauri jinsi ya kujirekebisha na kuboresha matangazo ya mubashara maana kwasasa ndo TV inayoangaliwa na vijana kwa wingi.

Kwasasa wasanii wa singeli wanaendelea kutumbuiza , Dogo Niga kashuka huyu wa sasa sijui anaitwa nani
 
Naona kivumbi pale kati hadi mgambo wameingilia kutawanya vijana wenye mzuka
 
Vipi Majay katoka au bado yupo korokoroni?!
 
Wameipoka n lugha ya wap hii
Wakat linafaa kuwaa (wamempora)
Kwani nikisema "atakuja" litakua halina maana kwasababu kuna neno jingine linalofaa kutumika "anakuja"???
 
Back
Top Bottom