Alishatoka siku nyingi,Vipi Majay katoka au bado yupo korokoroni?!
Sipendi singeli ata sijui kwanini!
nimejitahidi kujilazimisha ila wapi!!
Jamaa wabunifu sana wameleta changamoto kwa hizi TV ambazo zilikua zinajifanya kumonopolise soko
Wameipoka[emoji777]Halafu mwaka jana Efm wamechukua tuzo ya redio bora , wameipoka toka kwa clouds fm
Kosa hamna ila labda unakirangaWameipoka[emoji777]
Wameipiku[emoji736]
Cc faiza
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kosa hamna ila labda unakiranga
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Unafkir mwiz anakubali
Kirais tu ameiba
Hamna kosa hapo, na hayo n maneno mawil tofaut kabisaWameipoka[emoji777]
Wameipiku[emoji736]
Cc faiza
Dhuuu hebu nielewesheHamna kosa hapo, na hayo n maneno mawil tofaut kabisa
Wameipoka=Kwapua, nyang'anya, chukuaDhuuu hebu nieleweshe
Hapo kwny neno la kwanzaa
Mzee wa gg no 6
Wameipoka n lugha ya wap hiiWameipoka=Kwapua, nyang'anya, chukua
Kwani nikisema "atakuja" litakua halina maana kwasababu kuna neno jingine linalofaa kutumika "anakuja"???Wameipoka n lugha ya wap hii
Wakat linafaa kuwaa (wamempora)
Mhh kweli kiswahili fasahaKwani nikisema "atakuja" litakua halina maana kwasababu kuna neno jingine linalofaa kutumika "anakuja"???