Live:Christmass Special toka hapa nilipo

Live:Christmass Special toka hapa nilipo

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
Yeep JF...Christmass is here again.....

Haijalishi upo mabondeni,kijijini au shimoni................we have to celebrate it!!

Christmass ni special kwa sababu tumerithi utamaduni huo wa kuisherekea kwa kuwa pamoja na wale tuwapendao

Binafsi leo nimekua bize kutuma fedha kwa ndugu jamaa popote walipo..mara crdb,nmb,nbc na ma MPesa yote!!

kutoa ni moyo katu si utajiri....

Baada ya apo ni kukaa na familia;kupiga stor za hapa na aple....biere 2/3 eeh mbusi choma na kisusio....

ebu tupeane updates za kule mlipo..mnaisherekeaje sikukuu!!

Nawatakia sikukuu njema wote wana JF..msherehekee kwa amani!!
 
ya mwaku huu imekaa vibaya....wengine tupo zamu kazini
 
Back
Top Bottom