Live Clouds TV: RC Makonda mgeni rasmi tamasha la Malkia wa nguvu

Mgeni rasmi ni mama mongela,mleta maada unazidisha chuki dhidi ya clouds tu huna lolote.
Ye bashite ni kama wadau wengine tu hapo.
 
Tamasha hili linafanyika ukumbi wa mikutano wa mwalimu Nyerere posta jijini Dsm na liko mubashara luningani Clouds.

Karibu!
Wamekosa mwananke mwenye nguvu na ambaye angekuwa mfano kwa wanawake wengine mpka wamchukue huyo? Au Jokate hajawawatonya kilichompata kwenye tamasha lake la kuondoa ZERO matokeo yake likakavurugwa na ZERO?
 
Tamasha la leo linaongozwa na wanaume......hata wanenaji karibia wote ni wanaume akina Erick Shigongo nk!
 
Acha kupotosha mgeni rasmi ni mama mongella

Sent using iphone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…