Live from eatv c n b prezoo

Live from eatv c n b prezoo

MATESLAA

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,246
Reaction score
75
Wakuu
muda si mrefu cnb prezoo ataojiwa na salama
 
Ndio kipindi kimeanza anasalimiana na wadau
 
Anasema anyolewe kipara kama 2pac salama ndio anaingia
 
Anasema big braza afria hauna bili ya umeme hakuna bili ya maji yani ni bure kila kitu
 
Anaulizwa ni kitu gani kilimpeleka big braza??
 
Alimuomba mama yake ruska ya kwenda big braza
 
Anaambiwa ajielezee kama prezoo kwa jina lake
 
Amasema akitoka kuhojiwa anakwenda kula bata
 
Anasema tatuzake zina mahan anaya mtoto wake mama yake na baba yake
 
Anasema baby wa cash maney ndio anafanana na yeye na yeye hafanani nae
 
Usiharibu majina ya watu sio CNB prezoo ni CMB Prezoo.yaani Cash Money Brothers Prezoo.
Simpendi huyo mtu ndio maana leo sikujisumbua kuangalia kipindi, Haya tuambie next wiki kwenye huo mkasi atakuwepo nani?
Wakuu
muda si mrefu cnb prezoo ataojiwa na salama
 
Usiharibu majina ya watu sio CNB prezoo ni CMB Prezoo.yaani Cash Money Brothers Prezoo.
Simpendi huyo mtu ndio maana leo sikujisumbua kuangalia kipindi, Haya tuambie next wiki kwenye huo mkasi atakuwepo nani?

asante mkuu kwa kunirekebisha

wiki ijayo ni yule mtangazaji wa itv maulid kitenge
 
Nampenda Prezoooooo nilifurahia kumsikiliza hata Salama alipokuwa akimuhoji alikuwa anafurahia sana ilikuwa bonge la interview
 
Back
Top Bottom