Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Tuko hapa Halle (wanafunzi wa Shahada ya Uzamili wa UDSM) Ujerumani katika Tamasha la Wasomi mbalimbali.Katika Tamasha hili,Wahadhiri na wanafunzi kutoka UDSM wamefanya 'presentations' katika mada mbalimbali. Kwasasa Dr.Tulia Ackson wa UDSM anawasilisha mada kuhusu 'Jinsia na Sheria za Kazi Tanzania'. UDSM iko juu;wazungu hapa wanatingisha vichwa kukubalina na hoja.Wanaona umahiri wa watoka-UDSM. I feel proud to be part of UDSM Alumni and students.