Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Wambie tz kuna division five,na daraja E lolikuwa F. Tunaendelea vizuri..wanafunzi wetu wakishindwa tena..tutahadili namna bora ya kueafurahisha wazaz...
teh teh
BRN
majirani zetu wachovu wasiopenda maendeleo yetu wwatanuna sana mwaka huu, udsm chuo bora cha nne afrika baada ya vyuo vitatu vy south afrika, wapi nairobi, makere university? Vimebakia majina tu
Tuko hapa Halle (wanafunzi wa Shahada ya Uzamili wa UDSM) Ujerumani katika Tamasha la Wasomi mbalimbali.Katika Tamasha hili,Wahadhiri na wanafunzi kutoka UDSM wamefanya 'presentations' katika mada mbalimbali. Kwasasa Dr.Tulia Ackson wa UDSM anawasilisha mada kuhusu 'Jinsia na Sheria za Kazi Tanzania'. UDSM iko juu;wazungu hapa wanatingisha vichwa kukubalina na hoja.Wanaona umahiri wa watoka-UDSM. I feel proud to be part of UDSM Alumni and students.
Mkakati wa BRN
uDSM wamepelekwa Germany, ili tuwe kama Havard?!!! Hongera JK, hureeeeeeyyyyyyyy!!!!!!
Bora kwa majengo na wakufunzi ila product ni mayai ya bata!!!!
hajui kiswahili maana yupo ujerumani ngoja arudi bongo ndio atakujibu!!!Sorr shahada ya uzamili ndo shahada gani hii?