Live from Germany: UDSM yang'aa

Napita!!!

Lakini niwakumbushe tu, huku canada udsm kinasifika na kuwekwa rank moja na akina oxford na havard...

Viva!! UDSM
 
Bora kwa majengo na wakufunzi ila product ni mayai ya bata!!!!


Labda ungeanza kutudadavulia mayai ya njiwa,mbuni, kenge, kasuku ni yapi ndio utukaririshe kua udsm ni mayai ya bata, otherwise wewe ni kilaza.... ....
UDSM utaishia kuisikia kwenye magazeti tu...
 


Another fool...
 

udsm imebakia story tu kk, ilikua zamani, sasa engineer nenda DIT, sheria mzumbe na kilimo sua, labda kidogo education..
 
UDSM labda sheria so you should be specific other wise!!!
Karibu DIT kwa wahandisi!
 
Usitambe kwa presentation zinazofanywa kwenye ivory towers. After all wewe na wazungu wako unaoona sifa sana kupata approval yao mnaweza wote kuwa mko katika denial, au hao wazungu wanaweza kutingisha vichwa kwa kufurahia jinsi mlivyo focus kuwapendeza katika presentations huku hali ya wananchi wenu ni taabani.Hamna mchango nje ya ivory towers type of presentations.

Tuambie mmefanya nini on the ground kusaidia wananchi wanaoteseka kwa ujinga, umasikini na maradhi.

Kuwa impressed na wazungu kutikisa vichwa is so low I wouldn't even say it's mediocre.

It's downright "country bumpkin".
 
Kwa neno moja nasema PUMBAVUUUUUU........
Wazungu wanatingisha vichwa kutoka magharibi kwenda mashariki wewe unashangilia?????
Pumbaaaaaaaaavuuuuuu
 
Yaani Mzungu kutikisa kichwa ni kung'aa??!? Hebu waulizeni wale Mijusi wetu waliochukua watawarudisha lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…