Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
Hivi unajua nilishindwa kuelezea furaha yangu kukuona na kukutana nawe...huggin you ilikua pengine ndio njia pekee iliyokua muafaka kwangu kuonesha furaha hiyo...
who was the other person mpendwa???
Haya ndio yanayojiri.
Mambo huku ni bads number! Ninomaaaaaaaaaa! Kina mtambuzi mmetshaaaaa! Lara 1 ndani ya nyumba,si ya kuhadithiwa! Mashauz yamepata wa kujishaua!
Mambo ndo yameanza huku n mambo makubwaaaaa! DONT MISS!
Ruttashobolwa, Jiwe Linaloishi, Jesca, Mtambuzi, lara 1 Paloma, KakaKiiza na wengineo............
Aisee mwaJ nilifurahi kukuona!
Mbona unaniwahi kuuliza?
Habari yako mwaJ...
Hivi unajua nilishindwa kuelezea furaha yangu kukuona na kukutana nawe...huggin you ilikua pengine ndio njia pekee iliyokua muafaka kwangu kuonesha furaha hiyo...
who was the other person mpendwa???
Hilo swali muhimu sana atii...naita majina ya wote waliohudhuria!!Mbona unaniwahi kuuliza?
Likewise! Nilifurahi sana pia. Ila cha ajabu picha nilokuwa najipa mtandaoni ikawa tofauti kabisa (sitaki maswali)! Japo majina bandia yana raha yake, kufahamiana physically ni kuzuri pia.
Ulikuwepo?
Nilivaaje?
Hahaha...usijali fake ID's na avatars haibadilishu uhalisia wa vile tulivyo...umekwepa swali langu ila kwa heshima yako mpendwa nami napotezea tu hahah
Dah we Mkare.
Nawe ulikaa meza moja na akina nani?
Asante.
The other person is JF member too! Mbona nilitaja jina lake, au hukulisikia?
Acha na sisi tufurahie party vicariously bana. Hapa nilipo nimetupia suruali ya YSL, shati la Valentino, loafers za Gucci.....na fedora ya Versace....kila kitu white....from head to toe.
Mpwa wala jina kama hilo sikulisikia kwenye utambulisho, labda baba yake Mtambuzi aliamua kuliruka...
Alikuwepo kwa nje. Alikaa pale Garden
Sikulisikia ndugu yangu na ndio mtu pekee mpaka wakati huu sijatambua ni nani, waweza rudia jinale kwa heshima yangu???