Leo ni mpaka kunakucha
Halali mtu hapa......atakaelala mchawi.......ila kama kalewa......ruksa......
Wewe unatafuta mada kesi, hiyo kitu naijua ina alc 99% unataka watu wazimike?
Hahaha...hizi meza naona zinataka kuharibu sherehe! imebaki kidogo tu togwa kuingiwa na nzi.
party ndo imeisha. hapa nipo na watu8, Jiwe Linaloishi tunaondoka makwetu. thank you jf. nmeshindwa kureport sababu ya mitungi ndo maana nikaanzisha thread ikaishia katikati. samahani lakini. nmefurahi kukutana na amu, marejesho, @ jeska na mtu ya watu @rara 1. mia
I hope usalama ulikuwepo. Nami nimeungana nanyi kula bata japo nipo huku Kanda ya Ziwa.. All is Well
Aisee mkuu watu8 nilicheka mbaya wakati yule Mzulu Ntombela alivyokuwa akisakata le wimbo wa Kigoma wa Zito Kabwe.................LOL
party ndo imeisha. hapa nipo na watu8, Jiwe Linaloishi tunaondoka makwetu. thank you jf. nmeshindwa kureport sababu ya mitungi ndo maana nikaanzisha thread ikaishia katikati. samahani lakini. nmefurahi kukutana na amu, marejesho, @ jeska na mtu ya watu @rara 1. mia
Mpwa pamoja sana siku moja event kama hii itakuwa viwanja vya Tilapia kama sio JB Belmont