Live From Kebby's Hotel in JF Dar-Wing, WHITE PARTY!!!!!

Nikishakunywa hiyo makitu ya Grants, basi kichwani huwa nahisi kama sauti ya manyau hivi, Ili kuituliza inabidi kuongeza na DOMPO.

Mweeeee.......halafu watu8 akishakunywa grants ana fujo sana.......
Japo nipo mbali na nyie kimwili......kiroho tupo pamoja kabisa.....
Cheeeeeersssss.......
 
Last edited by a moderator:
Aseee....sasa kama kuna anayehitaji kinywaji....serious drinking, aende pale kwa Chaaaz sinza. Bill kwa Big.
Cc nivea.
 
Last edited by a moderator:
Tenyaaa (Source Madame B) Preta hivi ulijuaje kama watu8 anakamata Grants......!
Kuna chupa moja ya Kotensa Gin wadau wanaikimbia mbayaaa, inapigwa danadana kama Gongo kwa jinsi inavyotisha, naona hata ODM Asprin anaikwepa hii makitu aisee


Lakini Jiwe linaloishi anaimaindo sana hiyo kitu...alipokuja akakuta imekwisha almanusura alie kabsaaa!
 
Nikishakunywa hiyo makitu ya Grants, basi kichwani huwa nahisi kama sauti ya manyau hivi, Ili kuituliza inabidi kuongeza na DOMPO.

Hahahahaha....huu unywaji mpya sasa.
Grants then dompo?
Anyways........pombe pombe tu, hayo mengine ni majina tu.
 
Saa 7 kweli hao ni waume na wake za watu,mi nlikuwa hapo pembeni nawaangalia tu Mtambuzi ila punguza kuongea unaongea sana kama kiberiti kilicholowa@watu8 sikujua wewe ni HB namna hiyo mpareeee hahahahah Asprin hahaha akagonganisha magari hajui alonge na lipi nkamwona cacico kanuna mwanzo mwisho lol acha wivu shost
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…