Live from steve nyerere east africa stand up comedy

Live from steve nyerere east africa stand up comedy

The Wolf

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,412
Reaction score
20,685
1. Idriss sultan bba ni bonge la comedian sikuwahi kuhudhuria show ya huyu dogo ila kwa dk chache nimejua ni bonge la comedian anaweza kuwa kevin hart w bongo

2. Jamaa (steve) anaigiz kiingereza cha obama lakin hajui kutamka maneno ila sauti anaweza

3. Anatania wahudhuriaji, hii itawa discourage kuhudhuria tenaaa

4. Kamchana jb, kajala, zamarad n.k

5. Kawachana basata kuwafungia wasaniii
 
Hakuna stand up comedian hapo hata mmoja.

Wote ni wack tu!
 
Huyo Idriss hamna kitu, Steve Nyerere alikuwa mzuri enzi hizo, sijui kwa sahivi kama ana jipya
 
Vipi JK COMEDIAN yupo?
Na Catharine na HD nao wapo?
Kama hawapo hamna kitu hapo
 
Some body Omondi ukiacha erik omond safi saaana.

Au pilipili saafi.....idris nop na huyo nyerere wakawaida
 
Some body Omondi ukiacha erik omond safi saaana.

Au pilipili saafi.....idris nop na huyo nyerere wakawaida
unamzungumzia Fred omondi!???namkubali very talented Yule jamaa,erick hafik pale
 
Nakumbuka nilienda maonesho ya Sabasaba dsm Kwa Aziz Ally pale nilimuona JK Comedian aisee jamaa ana kipaji sana Idris hana lolote zaidi ya sifa za kijinga
 
Pilipili /mpoki wapo vizuri hao wengine wanalazimisha fani.
 
Kila kitu kinaanzia chini na kwenda juu hata mbuyu ulianza kama mchicha. Tuwape moyo wataweza tu au watawafanya wenye vipaji kujitokeza kwa wao kuonyesha njia. Mkumbuke enzi za kina Prof. Jay walipokuwa wanaanza rap tulikuwa tunaona kama wanajisumbua tu kwa kuiga marekani lakini leo wanamuziki wa bongo wanatamba mpk huko marekani achilia mbali africa
 
Steve Nyerere alienda kama mtazamaji au kuchekesha?
 
Back
Top Bottom