unamzungumzia Fred omondi!???namkubali very talented Yule jamaa,erick hafik paleSome body Omondi ukiacha erik omond safi saaana.
Au pilipili saafi.....idris nop na huyo nyerere wakawaida
CCM imeingia kwenye damu hukumsikia alivyosema dodoma kuwa bila jeikei maisha yasingeenda kabisaHuyo Idriss hamna kitu, Steve Nyerere alikuwa mzuri enzi hizo, sijui kwa sahivi kama ana jipya
huyu pilipili nae ni mchekeshaji?Pilipili yupo
lazima tuponde hatucheki kizembe fani hii inahitaji watu talentedWatz kwa kujua kupondaaa MNA PHD