Live From Taifa: Simba Vs JKT Ruvu




Kocha Msaidizi wa Simba, Selemani Matola ameuomba uongozi wa timu hiyo umpunguzie majukumu au umuache ende zake.




Matola ameuambia uongozi wa Simba kwamba ana mambo ya kifamilia yanayomkabili hivyo asingeweza kupambana na presha inayoendelea.


Rais wa Simba, Evans Aveva amesema tayari Matola amewaambia kwa mdomo kuhusiana na hilo na sasa wanalishughulikia.


"Ni kweli amesema hivyo, sasa nimemwambia aandike barua kuhusiana na alichosema," alisema Aveva.


"Baada ya hapo tutakutana na kukaa ili kujua cha kufanya kuhusiana na suala hilo," aliongeza Aveva.


Simba ilipoteza mechi yake ya pili ilipokutana na Mbeya City na kufungwa mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar,Jumapili.


Hali ambayo imeamsha jazba kwa mashabiki wa Simba ambao asilimia kubwa waliangua kilio.
 
Wazee wa droo vipi kaburu ameshapanga timu au bado Mkuu. Ningekushauri kabla hujaenda uwanjan wapigie simba UKAWA uwaulize Leo ngapi ngapi
Kaburu anasema Ndemla, Hasan Isiaka na Mohamed Husein Tshabalala hawana hadhi ya kuichezea simba,
Ha ha ha ha ha! huyu kaburu huyu!!!!
 
Kaburu anasema Ndemla, Hasan Isiaka na Mohamed Husein Tshabalala hawana hadhi ya kuichezea simba,
Ha ha ha ha ha! huyu kaburu huyu!!!!

tupe source tafadhali
 
Kaburu anasema Ndemla, Hasan Isiaka na Mohamed Husein Tshabalala hawana hadhi ya kuichezea simba,
Ha ha ha ha ha! huyu kaburu huyu!!!!

Unajua ukiacha bifu lao na ukawa pia wenyewe kwa wenyewe wana bifu pia. Aione Makoye Matale
 
Last edited by a moderator:
wacha kubwabwaja msemaji
Kaburu anasema Ndemla, Hasan Isiaka na Mohamed Husein Tshabalala hawana hadhi ya kuichezea simba,
Ha ha ha ha ha! huyu kaburu huyu!!!!
 
imebadilikia kwa ndani tu mkuu wangu carolina
Nadhani tungeweka update za mechi zote

Amavubi tutendee haki kwa kubadilisha title isomeke vpl updates 31_1.2015.

Then ukatupiamo game za Leo.


Pamoja na yote naitakiu ruvu ushindi
 
mkolaj simba kufanya vibaya haimaanishi yanga ni timu bora
 
Last edited by a moderator:
Dawa ni kuwa-bokoharamu simba ukawa tu, vinginevyo itakuwa kama wenger na arsenal
hata timu ishinde mechi ngapi mfululizo, arteta na wilshere wakipona tu lazima apangue kikosi cha ushindi awaweke wao
 
wacha kubwabwaja msemaji

Wewe ongea tu najua kuanzia saa kumi hutapatikana humu labda unaweza ukarudi tena kesho na yanga wakimpiga mtu mikono minne kesho ndio kabisa utapotea. Juzi baada ya kipigo na mbeya city hukupata usingizi usiku kucha mpaka utendaji wako wa kazi huko ofsini ukawa mbaya, na leo tena utapata mkong'oto wa nguvu kutoka kwa JKT RUVU ndio kabisa hata shemeji utampa likizo.
 
team yetu ya simba na kocha wala si mbaya. tuna kocha mzuri sana na wachezaji tunao wazuri hilo kila anayeelewa mpira atakwambia. jambo ambalo linatuumiza ni wachezaji kuchoka kinapoanza kipind cha pili. huwa wanasema wanachoka utadhan wamebeba wame. kipind cha kwanza wanajitahid sana kwa nguvu nyingi sana . mi nadhan hapa shida ipo tukubali tusikubali. lakini tunafaham tatizo ni nini. nadhan kama aveva huyu mnyakyusa angeacha ujeuri angeweza kukaa na ukawa haya mambo yangeisha tu. na ushindi ungepatikana, kwa sasa kila mchezaji simba ataonekana mbaya au anacheza chini ya kiwango. haya mambo watu myasikie tu ila usiombe yakukute. mtani anashangilia akidhan kwa haya yanayotukuta yeye anafaidika anasahau sisi tumetoka mbali sana na kushuka kwa simba ni kuanguka kwa yanga. maana huu mwaka wa nne kama sikosei hatuna team ya kutuwakilisha mech za kimataifs kiushindani toka simba ianze kufanyiwa hujuma. maana team ambayo ilikuwa inawea kucheza mechi za kimataifa ni simba peke yake.
tutapambana na tutashinda. bantu lady, makoye et al
 
Bantu lady uko wapi dada njoo tuwape sapoti jkt ruvu wakati anampakata mnyama ili yule jamaa anayelala wima aendelee na usingizi wake wima.
 
Last edited by a moderator:
Bantu lady uko wapi dada njoo tuwape sapoti jkt ruvu wakati anampakata mnyama ili yule jamaa anayelala wima aendelee na usingizi wake wima.
Nina wasiwasi na leo tena wakipokea kipigo kutoka kwa JKT RUVU yule jamaa anaweza kuhamishia hasira kwa mkewe.
 
Last edited by a moderator:
Timu zote zipo uwanjani na wachezaji wa timu zote wanapeana mawili matatu kabla ya kuanza mtanange.
 
Uncle mpoto anaipatia simba goli la kuongoza, SIMBA 1-0 JKT RUVU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…