Live from Tunis: Tunisia vs Tanzania

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Karibuni wazalendo tumnyooshe Tunisia nyumban kwake

Mechi ni ya kufuzu Afcon ikiwa ni mechi ya 3,Tanzania alishinda mechi zake 1 na kupoteza 1
Tunisia yeye alishinda mechi zote mbili

kikosi cha Tanzania
manula
Kapombe
m husein
Mwamnyeto
mao
Mkude
sureboy
Msuva
bocco
Farid


Ombi:Mwenye link ya online YouTube a shere
 
Kumfunga Tunisia tusahau na siwezi kujipa pressure.. Walinipeleka wenywe nje ya nchi mpaka sasa natumia network ya Tunisia..
 
ok, ila taifa stars wanafungwa magoli yasiopungua matatu.
haya ni maoni yangu wala nisiwe mnafiki
Haaaaa, gemu tunapata hata draw ngoja tuone kikosi
Kama kitakua
Manula
kapombe
Tshabalala
Mwamnyeto
Nyoni
Mao
Mkude
Sureboy
Nchimbi/Nado
Bocco
Msuva
 
Tunisia wakituhurumia watatufunga goli tatu.


Tunisia 3 vs 0 Tanzania
 
Karibuni wazalendo tumnyooshe Tunisia nyumban kwake

Mechi ni ya kufuzu Afcon ikiwa ni mechi ya 3,Tanzania alishinda mechi zake 1 na kupoteza 1
Tunisia yeye alishinda mechi zote mbili
Labda kama CAF wataruhusu NEC na Geshi la polisi wawe sehemu ya waamuzi vinginevyo kamwe sisi hatuwezi shinda jambo lolote lenye mazingira ya haki na usawa tumeshazoe utapeli na ulaghai kwa kila jambo lenye ushindani.Leo tusipokula 3-0 basi Mungu Mkubwa...
 
Kuna mtu anagundu sana na leo kaongelea mwakinyo na taifa staz, wanakwenda kupoteza woooote hakuna cha mwaki wala taifa sitazi.
 
Kwanza tujue. Kikosi cha leo wachezaji wa simba wako wangapi? Kama ni wengi mechi hii tunafungwa kama iliyopita na burundi. Ova.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…