Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ndio nia yake hiyo amekwambia ?Wakongo hawana pesa huko atatoka patupu
Ipo hapoJamaa mbishi kichizi kaamua awapige mabwege ki-internationally,anajua kabisa Tanzania kuna misukule yake aliiacha.
Link haijafika hapa kwa bahati mbaya.
Sio mabwege waheshimuJamaa mbishi kichizi kaamua awapige mabwege ki-internationally,anajua kabisa Tanzania kuna misukule yake aliiacha.
Link haijafika hapa kwa bahati mbaya.
Wamejaa sana hapo kwa mtumishiDhihaka zake mtandaoni watu wameona lkn bado wataenda kwenye mikutano yake
Hawa jamaa sijui wanatumia kitu gani kuvutia watu
Kwa mujibu wake aombei bure. Namnukuu aliyesema yeye mwenyewe, maombi ya bure kaombewe na wazazi wako, ukija kwangu njoo na pesa.Kwani ndio nia yake hiyo amekwambia ?
Ok sawaKwa mujibu wake aombei bure. Namnukuu aliyesema yeye mwenyewe, maombi ya bure kaombewe na wazazi wako, ukija kwangu njoo na pesa.
Sema alikuwa anakula peke yake, angekula na akina sa100 kama mwamposa hakuna ambaye angemgusa.Wacha akawapige na wa kwao, huku serekali imehurumia wananchi, imeingilia kati na kuwakomboa wajinga katika dimbwi la ulaghai.
Mabwege lazima yatozwe"" Ukimpata bwege wa kumchuma fedha ""
-Ngangana nae au mnganganie!