Me na hizo mambo tofauti aisee Mr wangu hapendi hizo mambo za drama acha tuwe wasomaji mfanyie shemela muosha rungu[emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja na mie nikufanyie enterview maana unanigusa kunako
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeanza wapiiii na uzi alikuwekea wa kukuomba msamaha au ilikua geresha jaman
Ulikua wapiiii jaman NeyDaah nimechelewa mpenzi ila haina neno ngoja nijikongoje taratibu
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Shukran dear kesho Mungu akipenda nawapenda nyote shunie linamo emmyta na sakayo [emoji8][emoji8][emoji8][emoji11][emoji9][emoji9][emoji7][emoji7][emoji7]mulale unono
jaman ule c ulishapita, mbona mtoto unataka kunishinda tabia wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeanza wapiiii na uzi alikuwekea wa kukuomba msamaha au ilikua geresha jaman
Si ushemela unaendelea sasa kama kawaida jaman kosa langu nini na jana nilimpa salam zangu kaniambia anakufata wozap kwenye video calljaman ule c ulishapita, mbona mtoto unataka kunishinda tabia wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakupenda pia jaman Mrs muosha naniliu
[emoji23] [emoji23] yake ilishapita bwanaMe na hizo mambo tofauti aisee Mr wangu hapendi hizo mambo za drama acha tuwe wasomaji mfanyie shemela muosha rungu
Hapana aisee me siwezi jaman kabisa na hizo mambo za drama mume mtamu aisee unataka nije kulia lia na mimi apa kama Mr wako kuachwa kubaya usikie tu mpaka mtu mzima chozi linamtoka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dawa yako ndogo, nitakuja kwako kukukanya vizuriHapana aisee me siwezi jaman kabisa na hizo mambo za drama mume mtamu aisee unataka nije kulia lia na mimi apa kama Mr wako kuachwa kubaya usikie tu mpaka mtu mzima chozi linamtoka
Ewaaaaaa hapo sawa ukuje tu unikanye nyumbani jaman[emoji23] [emoji23] [emoji23] dawa yako ndogo, nitakuja kwako kukukanya vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaaaaa manina wewe, me bado sijaolewa banahTunakupenda pia jaman Mrs muosha naniliu
Mmh nyie mnanichokonoa mjue, itabidi niwaite chemba mniambie mnanitakia nini mtoto wa watu jamanSi ushemela unaendelea sasa kama kawaida jaman kosa langu nini na jana nilimpa salam zangu kaniambia anakufata wozap kwenye video call
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji26] [emoji26]
Mama acha tuu leo nilikuwa busy balaah, ndio nimepumzika usiku huuUlikua wapiiii jaman Ney
Hahahaaa. Pole sana mumy.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ndio nina hali mbaya, ila nitajitahidi siachi page hata moja
Usiogope jomoniiii [emoji5] [emoji5] [emoji5][emoji23] [emoji23] Umekuwa na vichambo hadi nakuogopa