Jf idumu milele.Baba Otieno una maneno sana[emoji13]
Neiba hivi nawe ni ke kweli, maana kuna siku unatoa sauti nzito sana[emoji13]Jf idumu milele.
Asanteh mpz, umeamka salama lakini?Hahahaaa. Pole sana mumy.
Sakayo umeona nilikuambia atakujaaNawaona mjue[emoji121] [emoji116] [emoji13]
HahahaNawaona mjue[emoji121] [emoji116] [emoji13]
Neiba mpaka sasa Mimi ni mtu nisiyejulikanaNeiba hivi nawe ni ke kweli, maana kuna siku unatoa sauti nzito sana[emoji13]
Nimeona my dear....
Dada huyo hadi nauli alimtumia husna.Hebu sema na wewe mdogo wangu, halafu akija hapa anazuga
Lakini watu wasiojulikana wanakujua, Shauri yako
Aaaaaaaaah jirani ndege amepeperuka kabla hajakufikia.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jirani mimi naijielewa hapa ni chit chat
Hakuna ukweli wowote, wala uhalisie.
Ni vijineno vya hapa na pale..kuondoa stress nk.
Mzima wewe!
S wako mzima?
Nitakufinyaa[emoji13] [emoji13]Nimeona my dear....
Huna adabu ujueHahaha
Kumbe ni wewe eeehh
Yaani nyie pambafff zenyuuu
Ha hahaha naelewa maumivu uliyonayo jiraniNitakufinyaa[emoji13] [emoji13]
Huna adabu ujue
Yaani nyie pambafff zenyuuu
Leo ntamsubiria apite karibu na getin kwangu halafu nimrushie upupu jinga sana hii jirani yanguLakini watu wasiojulikana wanakujua, Shauri yako
HahahaDada huyo hadi nauli alimtumia husna.
Akaniambia jirani harusi inanukia naoa bosslady.
Nikamuuliza bosslady hana nauli??
Akaniambia hata kama anayo mwanaume kazi yake kutoa hela.
Hali ilivyochafuka kama ni mfuatiliaji mzuri alikaa siku 3 hajaingia huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawanijuiii wakija kuni white Nissan Dada si utanificha?Lakini watu wasiojulikana wanakujua, Shauri yako
Jirani jirani sasa ntakugeukia wewe ujue badala ya E
Usiniambie aliugua ghafla baada ya kuposa dume!!!! Kuna wengine siwaoni walikuwa siti ya mbele ile sikuAaaaaaaaah jirani ndege amepeperuka kabla hajakufikia.
Huyo Erik itabidi umuoe hivyo hivyo hawezi kukupotezea muda wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijambo kabisa nimeamka salama namshukuru m'mungu.Asanteh mpz, umeamka salama lakini?
Eti Kagame ni kweeeli uliposa dume?????!!! Ndo maana ukapotea eeehhNitakufinyaa[emoji13] [emoji13]
Huna adabu ujue
Yaani nyie pambafff zenyuuu
Eric anabamizwa na mwalimu wake, huwa sishei mtandao kwangu mwiko.Aaaaaaaaah jirani ndege amepeperuka kabla hajakufikia.
Huyo Erik itabidi umuoe hivyo hivyo hawezi kukupotezea muda wako
Sent using Jamii Forums mobile app